Nina Tovuti Yangu Nahitaji iwe na App Yakenimeshindwa kuelewa unachomaanisha, maelezo zaidi tafadhali
bei gani? nipe sample za web app ambazo mmeisha tengenezaInawezekana mkuu nicheki tupige kazi
na tayari nishakujibuNimeshakucheki mkuu
mnajua tu kusema $400 hata wewe nikikuomba Huna Mkuu Rudi Ujipange kwanza ndio uje utangaze biashara yako huwezi kazi weweMkuu kwa sasa hatujaweka app yoyote playstore ila bei itakua around $400 kutokana na requirements zako. Karibu
Around 400$. Pesa imekua rahisi sana ukitumia kichwaMkuu kwa sasa hatujaweka app yoyote playstore ila bei itakua around $400 kutokana na requirements zako. Karibu
mmmh! unamaana kama 920000 hivi.Mkuu kwa sasa hatujaweka app yoyote playstore ila bei itakua around $400 kutokana na requirements zako. Karibu
we ulitaka tuseme $0,nilichogundua uko mtandaoni kupiga majungu tu hamna la maana unafanya zaidi ya kutaka kuomba hela bila kufanya kazi na kudhani siwezi kua na $400. you are so NEGATIVEmnajua tu kusema $400 hata wewe nikikuomba Huna Mkuu Rudi Ujipange kwanza ndio uje utangaze biashara yako huwezi kazi wewe