Hassamore27
New Member
- May 26, 2023
- 2
- 1
Sawa, shukran. Telekebisha.Si sahihi kurusha mitandaoni picha ya mtu
Sawa umetengeneza Kitambulisho ficha jina la mhusika na sura yake
Huenda mhusika ndo amejipostSi sahihi kurusha mitandaoni picha ya mtu
Sawa umetengeneza Kitambulisho ficha jina la mhusika na sura yake
Sio mhusikaHuenda mhusika ndo amejipost
Uko Kigamboni bila shaka. Bei inategemea na aina kitambulisho, na idadi inayotakiwa. Vipo vya kuanzia 2000 kwa bei ya jumla (vya lamination), mpaka 4000 (vya PVC).Vitambulisho vya shule bei gani
Nikiwa na soft copy unaniprintia kwa Sh ngapi vya pvcUko Kigamboni bila shaka. Bei inategemea na aina kitambulisho, na idadi inayotakiwa. Vipo vya kuanzia 2000 kwa bei ya jumla (vya lamination), mpaka 4000 (vya PVC).
Yaani unakuwa tayari umesha disign mwenyewe!! Na idadi ni vitambulisho vingapi kwa mfano?Nikiwa na soft copy unaniprintia kwa Sh ngapi vya pvc
Weka majina, kidato cha mwanafunzi na picha kwa excell au access njoo ulipe 2000 each kazi nusu saa 100pcsVitambulisho vya shule bei gani
NdiyoYaani unakuwa tayari umesha disign mwenyewe!! Na idadi ni vitambulisho vingapi kwa mfano?
Habari ndugu. Karibu tukutengenezee vitambulisho bora kabisa vya pvc kwa gharama nafuu. Kwa kitambulisho kimoja cha pvc tutakutengenezea kwa shilingi 2000 tu (ila ni kuanzia vitambulisho 100 na kuendelea). Ofisi yetu iko Nzuguni Dodoma.Vitambulisho vya shule bei gani