Raynold Lema
Member
- Oct 20, 2019
- 27
- 7
- Thread starter
-
- #21
Hehehehehe has hadMkuuu nsameikunda den mae lakini ilerhii mbe...shiniiini den..asee hapo kalali nimekiuja sana na pia hayo maziwa mlikuwa mnatuuzia shuleni.. sh mia pakiti mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna tengeneza Milk Vending Machine (Milk ATM). Kwanzia ujazo wa lita 50,100,150, 200 hadi Lita 600 ya maziwa fresh yaliyo chemshwa pamoja na ya mtindi na yoghurt ,kwa bei nafuu sana.
Tunapatikana Moshi, maeneo ya KCMC madukani. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia email yangu raynoldlema@gmail.com
0768076849
View attachment 1251991
Taja bei
M5
Sasa ulikuwa unazunguka zunguka nini100liters hadi lita 200.ina pump yenye uwezo waku dispense mtindi pia.
Sasa ulikuwa unazunguka zunguka nini
Nikutengenezee ya lita ngapi?
Tulia kwanza mkuu, turekebishe mambo
Poa poa.
Hapana boss.Mashine zenu mnatumia Peristaltic Pump?
Usalama dhidi ya contamination ni aje?, maana hiyo pump niliyo mention juu, ni safest.Hapana boss.
Ok. Soo are you interested in getting one?Safi.
Naona
Acrylic board (opal)
4 x 3 keypad
20 x 4 LCD
On/Off switches
Push buttons
Coin acceptor
Microcontroller (Possibly Arduino)
Pump
πππππππππππ
Usalama dhidi ya contamination ni aje?, maana hiyo pump niliyo mention juu, ni safest.
Safe kwa upande gani sijakuelewa manake pump haikai ndani ya maziwa pump iko nnje.
Nilifanya project ya hiyo kitu, kwa hiyo najaribu ku challenge afya mlaji pia.Ok. Soo are you interested in getting one?
Mkuu upo vizuri sana