Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

Je, kwa walio Mikoa mingine tofauti na Kilimanjaro watapaje huduma yako. Au una mawakala sehemu zingine za nchi?
 
Tuna tengenezea Moshi, ila kwa upande wa usafirishaji tuna safirisha mikoa yote nchini.
Kama ni hivyo kwa nini bandiko lako lisiambatanishwe na vielelezo vyenye kuonyesha aina za mashine pamoja na maelezo ya kiufanisi?
 
Weka japo picha kadhaa za muonekano wa hiyo mashine, na maelezo yake kidogo jinsi inavyofanya kazi
 
Wananunua China. Hakuna anayotengeneza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…