Yaani huwa inafika wakati huwa naona kama watoa matangazo ni madalali tu
Sehemu wanazotengeneza magrill zipo nyingi tu sasa kama haweki bei nitajihangaisha vipi kumtafuta wakati najua kuna sehemu yapo
Bei inategemea na materials pamoja na ua but kwa dilisha la futi 6 kwa 6 na ua kama hilo juu kwenye picha nililopost bei inaanzia laki moja na 30 hadi laki moja na 50