Mabango huvuta wateja wapya kwa kuwajuza wateja juu ya huduma au bidhaa iuzayo biashara yako.
1.
Mabango ya acrylic 3D yawakayo
Ni mabango yenye herufi zilizoumuka zionekanazo pande 3(3D) na zenye mfumo wa umeme.
Huundwa toka kwenye material ya akriliki ambapo ni aina ya plastic inayoonekana kama kioo lakini nyepesi na laini ambapo hutumika kama mbadala salama wa kioo.
Kulingana nakua na herufi zenye
mfumo wa umeme hivyo tunakuunganishia kwenye mfumo wako wa taa ili pindi uwashapo taa na bango
nalo linawaka.
View attachment 3112869
View attachment 3112863
View attachment 3112866
Bei hua kwa mita moja, Mita moja(100cm) ya bango la 3D Tsh 450,000
N:B kadri meter zinavyokua nyingi ndivyo na herufi zinakua kubwa hata kuweza kuziona kwa mbali.
2.
Mabango ya 2D yawakayo
Tofauti na bango la 3D, bango la 2D jenyewe linakua na herufi nyembamba ambazo hazijaumuka kutoka nje ya bodi
ziliposhikizwa.
View attachment 3112876
Bei kwa mita moja(100cm) Tsh 250,000
3.
Mabango ya 2D ya ndani
Bango la ndani linaweza kua lenye kuwaka katika herufi zake au lisilowaka pia umbo lake laweza kua la
duara au pembe nne.
Lenye kuwaka Tsh 250,000
View attachment 3112910
Lisilowaka Tsh 200,000
View attachment 3112911
Tupo Dar, Ubungo-Mawasiliano
WhatsApp/call 0743717072