Tunataka Rais anayeijua nchi na siri zake!

Tunataka Rais anayeijua nchi na siri zake!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Ndugu zanguni habu tujaribu kuwa makini katika kumchagua Rais wa nchi na si kutanguliza ushabiki wa mihemko ya kisiasa.Huyu ni kiongozi wa taifa na sio mtu wa mchezo,sio mtu wa majaribio na wala sio mtu wa kukurupuka!

Hili taifa lilikofikia hivi sasa linahitaji kiongozi anayeifahamu nchi hii vizuri ni wapi imetoka,wapi iliko na wapi inaelekea! Kiongozi anayezifahamu shida za watanzania tokea nchi ipate Uhuru, anatakiwa kiongozi aliyekua katika midingi ya kiongozi na ni mtu anayeuelewa utawala wa sheria.

Kwa hakika watanzania tusipoongozwa na na busara tukaongizwa na ushabiki, mihemko ya kisiasa,chuki na fitina za ajabu na za kilaghai tutalia na kusaga meno, Itafikia mahali tutasema Leo hii ni afadhali ya jana.

Mtu anyelifaham tunamjua na yupo, tusichague mtu wa kwenda kujifunza namna ya kiliendesha taifa na kumfunza diplomasia. Kwa nchi za wenzetu watu wa namna hiyo huandaliwa mapema ili kujifunza namna ya kiliendesha taifa kwa ujumla.

Kiongozi wa taifa tunayekutegemea huwezi kuwauliza wananchi kwanini mahospitalini dawa hazipatikani ilihali kwenye maduka yanapatikana badala ya kuuliza ni kwanini TWIGA wanasafiriwa kwenye ndege?,ni kwanini meno ya tembo yanasafirishwa mchana kweupe?
 
ni kweli kaka watu huandaliwa Kuwa viongozi uongozi sio zali au kubahatisha lazima uwe umewekeza kwa watanzania na wanakujua vzr . hili liko wazi lowasa anaielewa nchi hii vzr na ndio maana anaamini ktk dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi ni mtu asiekata tamaa kwakua anaelewa wapi misingi ya utawala bora, uzalendo, rushwa nin chanzo . ktk hilo tunaamini anajua kwa kina sababu za tanzania kuwa masikini . hivyo sahv yuko nje ya box kwake itakua rahisi kuongeza speed ya kuwakwua watz
 
Nawapongeza nyote kwa mitazamo yenu mizuri isiyo na chembe ya ushabiki.#mabadiliko2015
 
Mmeishiwa propaganda, huko kujua siri za serikali kumesaidia nini kupunguza umaskini wa Monduli.
 
Magufuli hafai kuwa Rais.... Taasisi ya urais haiwezi kupewa mtu asiyejua siri hii.... Tutafika pabaya sana
 
Back
Top Bottom