JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,195
Hoja inaeleweka:
Dalili ni njema, 'wana wapotevu' wanataka kurudi nyumbani. Tunahitaji sherehe, kama ilivyokuwa sherehe kwa ajili ya 'mwana mpotevu' (wasomaji wa parables wanaelewa).
Kuna mtu kama Sumaye, huyu licha ya kukaa upinzani kwa takribani nusu mwaka, ila bado hana kadi ya chama cha upinzani. Mwingine ni Kingunge, huyu naye muda wowote anarudi mzingira yakiwa vizuri. Kwa vile waliondoka kwa kauli mbiu ya TOROKA UJE, sasa warudi kwa kauli mbiu 'AGA UPINZANI, RUDI NYUMBANI'.
After all wakiwa wanachama wa kawaida, chama hakina kitu cha kupoteza..
CCM mbele kwa mbele....!
Watakaopinga wapinge kwa hoja.