Tunataka Maji Yatoke

wanataka hela za msaada kutoka benki ya dunia zikishatoka ndio wataruhusu maji yatoke tulieni wananchi, nilishasemaga Tanzania haitakuja kuwa nchi njema kwa watu wake kama una akili kubwa tafuta hela hama hiyo nchi mapema utanishukuru baadae wewe na uzao wako.
 
Maji leo kwetu yametoka! kwa mbiinde tunashukuru kwa sauti zenu hope hii kitu itaendelea
 
Watakwambia hata wajerumani hawaogi bora hata sisi kidogo visima vipo 😂😂😂
 
Kwa kweli aiseee😀

Ili CCM iendelee kutawala ni muhimu wayafungulie hayo mabomba yatoe maji maana wabongo ni mabingwa wa kusahau.

Watasahau taabu yote hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…