radhiya JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 630 Reaction score 454 Sep 2, 2025 #1 Habarini team. Kwa niaba ya wateja wetu, Tunatafuta Nyumba za kununua maeneo mbalimbali ndani ya Dar es Salaam. Nyumba ziwe na Hatimiliki. Nyumba zikiwa na wapangaji itapendeza zaidi. Nyumba ziwe kwenye hali ya kuridhisha, zisiwe zimechoka sana. Bajeti ya mteja kuanzia sh.Mil 30 - Mil 70. Ikiwa una nyumba zinazofaa ambazo zinakidhi vigezo hivi tafadhali wasiliana nasi haraka iwezekanavyo! Zingatio:Tuma picha au video ya nyumba husika. Mawasiliano: 0767 833345 au 0627 605807 au 0784 829565 @prathrealestate
Habarini team. Kwa niaba ya wateja wetu, Tunatafuta Nyumba za kununua maeneo mbalimbali ndani ya Dar es Salaam. Nyumba ziwe na Hatimiliki. Nyumba zikiwa na wapangaji itapendeza zaidi. Nyumba ziwe kwenye hali ya kuridhisha, zisiwe zimechoka sana. Bajeti ya mteja kuanzia sh.Mil 30 - Mil 70. Ikiwa una nyumba zinazofaa ambazo zinakidhi vigezo hivi tafadhali wasiliana nasi haraka iwezekanavyo! Zingatio:Tuma picha au video ya nyumba husika. Mawasiliano: 0767 833345 au 0627 605807 au 0784 829565 @prathrealestate
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,589 Reaction score 16,473 Sep 2, 2025 #2 radhiya said: Bajeti ya mteja kuanzia sh.Mil 30 - Mil 70 Click to expand... Dar es Salaam?
radhiya JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 630 Reaction score 454 Sep 3, 2025 Thread starter #3 Twilumba said: Dar es Salaam? Click to expand... Ndio
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,450 Reaction score 108,531 Sep 3, 2025 #4 Hapo mkanunue msongola, chamazi, mboondole huko