Tunatafuta mwalimu wa Kompyuta

Tunatafuta mwalimu wa Kompyuta

Joined
Jan 4, 2015
Posts
6
Reaction score
2
Tunatafuta mwalimu wa Kompyuta (Computer)

Vigezo:

- Awe na "Computer certificate"
- Awe wa kike (female).
- Awe anapatikana Dar es salaam especially Mbezi Mwisho ya Kimara.

Mawasiliano: - 0714930581
- 0753966485
 
Mimi Nina diploma ya IT ila ni mvulana naishi kimara mwisho
Tunatafuta mwalimu wa Kompyuta (Computer)

Vigezo:

- Awe na "Computer certificate"
- Awe wa kike (female).
- Awe anapatikana Dar es salaam especially Mbezi Mwisho ya Kimara.

Mawasiliano: - 0714930581
- 0753966485
 
kazi za bei rahisi hizi yaani hadi uwe unaishi maeneo hayo kweli mtamlipa kitita kidogo sana yaonekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom