P Prof Decentman JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 276 Reaction score 140 Feb 3, 2017 #1 Wandugu, habari??? Kwa yeyote mwenye kiwanja maeneo ya Buyuni ulipo mradi wa PSPF au jirani anijulishe. Aseme ukubwa wa eneo lake na bei. Karibuni PM au email humble2080@yahoo.com
Wandugu, habari??? Kwa yeyote mwenye kiwanja maeneo ya Buyuni ulipo mradi wa PSPF au jirani anijulishe. Aseme ukubwa wa eneo lake na bei. Karibuni PM au email humble2080@yahoo.com
Andfaru JF-Expert Member Joined Nov 9, 2012 Posts 223 Reaction score 151 Feb 19, 2017 #2 Kipo 20 x 40 miln kumi
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,580 Reaction score 18,952 Feb 19, 2017 #3 Rafiki fika pale buyuni katika maeneo hayo, mimi nimesikia kimoja block 6, 15m
spray JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 277 Reaction score 241 Feb 19, 2017 #4 Ninacho sehem nzurii sana sqm 800, 15mil
B buruhani2 Member Joined Nov 29, 2016 Posts 82 Reaction score 10 Feb 19, 2017 #5 .0789282792 0712459985 mpigie huyu muhusika inshallah utapata eneo