Tunatafuta Eneo kwa ajili ya Ubia

Tunatafuta Eneo kwa ajili ya Ubia

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
508
Reaction score
401
Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja!

Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Kiwanja cha JV kilichopo Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam.

Mahitaji ya mteja:
-Ukubwa wa kiwanja uwe 2000sqm-4000sqm.
-Masharti 30%/70%.
-Mmiliki anapaswa kuwa tayari kwa maendeleo ya Villa(Villa development).
-Plot iwe na Hati miliki Safi.
-JV lazima iwe milele na hati miliki itatenganishwa ili kuonyesha umiliki.

Kumbuka:Toa maelezo kamili kuhusu eneo hilo. Hakikisha mmiliki yuko tayari kwa maendeleo ya Villa(Villa development).
-Mteja hatatoa ada ya kutazama.

Ikiwa una kiwanja kinachofaa kinachokidhi vigezo hivi tafadhali wasiliana nasi haraka iwezekanavyo.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited
 

Attachments

  • ea092e9c-1573-4b07-a255-8ba588b839dd_0_watermark.jpeg
    ea092e9c-1573-4b07-a255-8ba588b839dd_0_watermark.jpeg
    159.1 KB · Views: 16

Similar Discussions

Back
Top Bottom