Tunashindwa sasa hata kuwaelewa tunaopaswa kuwaelewa kwa kweli. Nimejifanyia tathmini zangu kuhusu alichopost Zitto Kabwe

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
244
312
Huku Kwetu bei ya Mahindi Debe Moja ni Tsh.10,000-12,500
Hivyo Junia Moja ni Tsh 70,000-87500, Tabora kwa Ujumla wake.
Naombeni Nanyi Takwimu Sahihi Maeneo Mliyoko ili Tupate Takwimu Sahihi,Maana tumechoka Kushikiwa Vichwa...
Angalizo bei inatofautiana kulingana na Muktadha wa Mazingira na uhitaji wake
# Hakikisha unaandika

Mkoa,Wilaya,na eneo husika Ili tuweze kujua kama tunaaminishwa kwa usahihi au ndio mvurugano!!!
22.jpg
 
View attachment 931804
Morogoro hasa Kilosa na Msowelo kilo ni TZS 250 hivyo debe litakuwa TZS 4,500 gunia TZS 27,000. Nafikiria Sumbawanga na Mbeya itakuwa ni bei gani kwa hali hii..
 
Kwa sasa nipo border ya wajanja I mean Tunduma.

Gunia la mahindi 100kg ni Tzs 18,000-25,000
 
Huku Kwetu bei ya Mahindi Debe Moja ni Tsh.10,000-12,500
Hivyo Junia Moja ni Tsh 70,000-87500, Tabora kwa Ujumla wake.
Naombeni Nanyi Takwimu Sahihi Maeneo Mliyoko ili Tupate Takwimu Sahihi,Maana tumechoka Kushikiwa Vichwa...
Angalizo bei inatofautiana kulingana na Muktadha wa Mazingira na uhitaji wake
# Hakikisha unaandika

Mkoa,Wilaya,na eneo husika Ili tuweze kujua kama tunaaminishwa kwa usahihi au ndio mvurugano!!!
View attachment 931804
Upinzani = Kukinzana
 
mnataka bei ya mazao ya chakula ipande ili tule nini tatizo La tz kila kitu ciasa
 
Ifike mahala Mkulima aweze kununua ng'ombe kwa debe moja la mahindi.....Aliwahi kusema.
 
Siasa ni ajira mkuu. Wenzako wapo kazini, ndio wanaendesha maisha yao.

Kama unataka umwamini mwana siasa akukwamue, tafakari upya.
Wadhibitiwe...sisi tunataka maendeleo. Wasituletee blah blah zao. Kila mwanasiasa awajibike kwa kauli atakazozitoa. Hatuwezi kuendelea kuwachekea wanasiasa wanaovuruga malengo ya wananchi kujiletea maendeleo kwa kujitegemea kikweli kweli kisa ' wanasiasa kuendesha maisha yao'. Inatosha sasa !!!
 
Back
Top Bottom