Binadamu ndo tulivyo, tunaweka utaratibu then tunauvunja wenyewe
Duh, ndo umemaliza kucomment hiyo picha hapo juu!!! hatariiNimemsikiliza Mch. Msigwa channel ten akisema ndan ya CCM haoni na hakuna mtu mwenye utashi au aliye kaliba ya Nyerere..Ila kitu ambacho hakusema ndani ya CDM au upinzani kwa ujumla ni NANI mwenye sifa hiyo akiwemo na yeye??
Nilichogundua kwake ni kunyoonsha kidole kwa mtu aliye mbele yako huku dole gumba likikunyooshea na ww...au waswahili wasemavyo nyani haoni kundule
Kitu anachotakiwa kujua dunian hapa HAKUNA kaz yenye heshima na hadhi nzur si kwa binadam tu hata kwa MUNGU kama mtu kuwa MTUMISHI WA MUNGU KAMA UCHUNGAJI. Atwambie kwa nini hakujikita upande huo tu bali akakimbilia Siasa?? Mungu anayejifanya kumuelewa ndiye aliyesema kuwa HUWEZI KUWAHUDUMIA MABWANA WAWILI..Tena akasema ya Kaisar mpeni kaisar ya Mungu mpeni Mungu
Huwez kuwa mwanasiasa halafu utudanganye kuwa bado kaz ya uchungaji unaifanya ipasavyo..kwa maana hiyo he is an hypocrite at work.
Nimemsikiliza Mch. Msigwa channel ten akisema ndan ya CCM haoni na hakuna mtu mwenye utashi au aliye kaliba ya Nyerere..Ila kitu ambacho hakusema ndani ya CDM au upinzani kwa ujumla ni NANI mwenye sifa hiyo akiwemo na yeye??