TunaPrint Banner na Sticker

nikiwa nataka kwa ajili ya bango la taa bei ipoje? mana sikujua kama ni sticker.
Backlight Banner kwa ajili ya bango la Taa bei yake ni 20,000 kwa mita moja
 


Mimi nahitaji Vinyl stickers kama hizi. Naomba bei. Nina mlango wangu una vioo viwili 0.66m kwa 0.92m kila kimoja.
 
Dar kubwa, Specify!
Kwenye maelezo yake ameandika Clearly kwamba yupo Dar es salaam, Kariakoo.

Nilitegemea swali lako lingekuwa yupo Kkoo sehemu gani na siyo yupo Sehemu gani au yupo Dar sehemu gani kama wanavyouliza watu wa Fesibuku wakati kila kitu umewaandikia.
 
Niendelee kuwakaribisha wadau kwa Huduma za Printing.

Tafadhali karibu tuwasiliane kwa Hii namba

Njoo Whatsapp au Nipigie

0759413270
 
Wheel cover hauja weka bei na sample na materials unazo tumia
 
Wheel cover hauja weka bei na sample na materials unazo tumia
Wheel Cover bei yake ni Tsh 30,000/=
Material ni yale ya Kuprintia Banner
Quality kabisaa na hayachaniki haraka.
 
Vehicle Branding with Transparent Sticker
 
Product labels
Print and Cut
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…