Watawala wakisoma bandiko lako watafurahi na kupeana tano kwa kufanikiwa kutengeneza taifa la wapumbavu kama wewe. Maana hawatakuwa wanatumia nguvu kuwatawala. Just imagine na wewe ni mtanzania kabisa unadiriki kabisa kuandika upumbavu kama huu! Hii nchi kusonga mbele ni ngumu sana kama akili zenyewe ndo hizi