Tunapokuwa na mamilioni ya kushughulikia vilio!

Tunapokuwa na mamilioni ya kushughulikia vilio!

Sir.M.D

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Ndugu zangu,napenda kujuzwa kama ilishawahi kutokea hapa duniani serikali kutenga mamilioni kwa ajili ya mazishi,na kutenga mamia ya ekari maalum kwa kuzika viongozi,ni nchi gani nyingine duniani tofauti na tanzania?pia ni nani aliye na sifa za 'kiongozi wa taifa'kiasi cha kuingia kwenye mfuko huu?
 
Back
Top Bottom