katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
-
- #61
Utatukana mpaka uweke chupi kichwani shida ipo hivi sina hamu na nyie wala hao wanaume wanawake wala wanaosagana mimi najitunza na kizazi changu kisije toboka wala hamuna inshu mnakopa kila mahali pyu tupa kule wafuateni tunakopesha wakukopeshe hadi mwanamke ulipe pole pole.Frustrations zitakuua... u need help,, lawama zote hizi zinaonyesha ushaliwa, sasa jitahidi ujinga ukutoke.
Kwa hiyo 6 year single ndiyo unakuwa bikra??. Huyo Liyekubandua kisha ukaachana nayo hakuitoa bikra?Acha hasira na miaka 6 nipo single sioni faida ya kuwa na mwanaume mimi nakama uamini njoo shika hadi ndani kama nasisimuka hamuna faida kazi kutupa nimba zisizo za mpango na kutuharibia vizazi vyetu.
Mimi nilikatashauri yakutoliwa na mtu yeyote kisa hamna faida na huu mwaka sasa ndio wasaba
Aisee sikumbuki hata nimetukana wapi.. tafuta msaada dada naona unamambo mengi yanakusumbua kichwani.Utatukana mpaka uweke chupi kichwani shida ipo hivi sina hamu na nyie wala hao wanaume wanawake wala wanaosagana mimi najitunza na kizazi changu kisije toboka wala hamuna inshu mnakopa kila mahali pyu tupa kule wafuateni tunakopesha wakukopeshe hadi mwanamke ulipe pole pole.
Nyie kuweni vichaa mimi huu ndio uamuzi wangu hata aje mtu chumbani simpi asije akaniharibu kizazi changu nikose uzaoKwa hiyo 6 year single ndiyo unakuwa bikra??. Huyo Liyekubandua kisha ukaachana nayo hakuitoa bikra?
Wewe ni malaya mzoefuAisee sikumbuki hata nimetukana wapi.. tafuta msaada dada naona unamambo mengi yanakusumbua kichwani.
Ukweli upi unaousemea?
"Bricks and stones may breack my bones but words won't hurt me" wewe bado hujawa mzoefu sio?Wewe ni malaya mzoefu
Niliyenae nimembikri mwenyewe wala hakuwahi kunitangazia bikra mpaka nilipojionea mwenyewe. Bikra zenu za maji ya limao ndiyo unayotutambishia?Nyie kuweni vichaa mimi huu ndio uamuzi wangu hata aje mtu chumbani simpi asije akaniharibu kizazi changu nikose uzao
Nani anasema ninayo au wewe nawe ni mbea kama hao wenzako?Niliyenae nimembikri mwenyewe wala hakuwahi kunitangazia bikra mpaka nilipojionea mwenyewe. Bikra zenu za maji ya limao ndiyo unayotutambishia?
Kama hauna bac hazina makombo, tugawie tu usitufanyie roho mbaya. Miaka 6 yote ya nini kukaa single?. Itaziba.Nani anasema ninayo au wewe nawe ni mbea kama hao wenzako?
Acha izibe tutaenda kwa daktari atazibua kuna mashine mbali mbali nyie mtanichafua kizazi tu trueKama hauna bac hazina makombo, tugawie tu usitufanyie roho mbaya. Miaka 6 yote ya nini kukaa single?. Itaziba.
Sikuhizi bila kuonja hupate Mme. Ukigawa kwa wanaume 30 mmoja kakuoa kunaubaya gani?Acha izibe tutaenda kwa daktari atazibua kuna mashine mbali mbali nyie mtanichafua kizazi tu true
Wewe ni mme au ni Ke unavituko sanaSikuhizi bila kuonja hupate Mme. Ukigawa kwa wanaume 30 mmoja kakuoa kunaubaya gani?
Wewe ni maleSikuhizi bila kuonja hupate Mme. Ukigawa kwa wanaume 30 mmoja kakuoa kunaubaya gani?
Mimi male natafuta female tuyajenge. Katoto kazuri 6 year billa kuitumia inanichanganya.Wewe ni male
nmeona kama umeandika 'wanaume'hao n wavulana bdo hawajakidhi wiwango vya kuitwa wanaumeWadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zenu kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zake wakiolewa maisha ni vise versa kwa wale wasiotaka kulea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
Wewe kama niwabaya basibi dada kila siku ni malalamiko tu...hakuna jema wanaume washawahi kukufanyia kweli?