Tunapoelekea wadada watazidi kuwa single

Najitunza kama na bikra hadi nione mwanga siwezi kuliwa liwa hivyo mwisho nakuwa kama karatasi .
Na K inakuwa kama malboro ìliyoisha sitaki mazoea.

Ahaaaa unanichekesha kinoma.
Kuna katoto nakajua kana hizo pigo zako kabisa angekuwa anamiliki smartphone ningesema ni yeye.
 
Hivi mimi ndo sikuelewi au hueleweki!!???
 
Comment bora sana hii kuwahi kukutana nayo JF. Kongole mkuu.
 
Ushaliwa sana mpkaka machweo yamekukuta so huwezi tena kuwa na ashki. Pole sana, tunawatunza wenzio waliothamini na kutunza usichana wao, nyie wengine tunakuja kupiga na kuamsha.
 
Sioni haja ya kuliwa humu jamii forum mimi natunza kizazi changu mpaka makafiri kama nyie muoe sina haraka nasijakuomba uniambie yote haya sina muda kabisa.
 
Unafikiri shida huwa ni za nguvu za kiume tu? Hata za kike huwa zipo bhana, mwanamke ukae miaka kadhaa hujaguswa na hausisimuki afu unaona kawaida tu hilo ni tatizo
 
Msafara wa mamba huwa kenge hawakosekani so nahisi ww unabahati mbaya yakukutana na kenge na ukaanza kuamini kuwa msafara ni wa kenge
 
Najitunza kama na bikra hadi nione mwanga siwezi kuliwa liwa hivyo mwisho nakuwa kama karatasi .
Na K inakuwa kama malboro ìliyoisha sitaki mazoea.

Kumbe una bikira?

Basi una safari ndefu sana. Bado changamoto za maisha hazijakupata ukae sawa
 
Unafikiri shida huwa ni za nguvu za kiume tu? Hata za kike huwa zipo bhana, mwanamke ukae miaka kadhaa hujaguswa na hausisimuki afu unaona kawaida tu hilo ni tatizo
Naweza panga na mtu siku ikifika tu najikuta nahairisha nandio mpaka leo naogopa mimba au ngoma
 
Mtaendelea kulalamika hivyohivyo, ila wenzenu huku kwetu wanaolewa kila kukicha... "you ar wat u get"
na kwanini usitaje majina ya hao uliokusudia badala ya kutaja wanaume wote? Ebu acha kudhalilisha watu wenye heshima zao..
 
Kwasababu wajinga ndio waliwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…