katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
UMEKUJA KUNISEMA HUKU 😉 😉Wadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zake kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zao wakiolewa maisha ni vise versa kwa aale wasiotaka kulelea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
Hapana ila nimesema ukweliUMEKUJA KUNISEMA HUKU 😉 😉
Kumbe mpo basi hii ni miracle ya mfungoWhat's wrong with u? Mbn tupo tunaocare..au labda kuna sifa hatuna ambazo wanazo marioo,ambazo ni za muhimu sana kwenu ili m-date?
Sikuelewi na sielewekiUmeenda nini aisee... Mbona hueleweki
NDO WANAVOSEMAGA MWANZONI 😎😎😎Kumbe mpo basi hii ni miracle ya mfungo
Eti ehNDO WANAVOSEMAGA MWANZONI 😎😎😎
Wapo wengi sanaMari Tz [emoji1787]
Sikuelewi na sieleweki
na utamu HUPATI ............pambana na hali yako sister na sie wenye hela hatutaki nyie wenye hela sababu mnasumbuaWadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zenu kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zake wakiolewa maisha ni vise versa kwa wale wasiotaka kulea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
Woi tutabaki wenyeweAya ni mabadiliko ya tabia ya nchi kubalini tu maaana hakuna jinsi
Acha hasira na miaka 6 nipo single sioni faida ya kuwa na mwanaume mimi nakama uamini njoo shika hadi ndani kama nasisimuka hamuna faida kazi kutupa nimba zisizo za mpango na kutuharibia vizazi vyetu.Hahaha mwanamke Ni kiumbe au kitu chenye thamani sana machoni pa Mwanaume..
Nani wakuhudumia Mwanamke keshatombw* tombw* hovyo unadhani wanaume Ni wajinga waache ghafla kuhudumia???Pesa inatoka ukiwa na thamani kweli au umepata mwanaume zezeta..
Tafuteni kutunza thamani zenu kwa kuziba mapaja hayo ndo utajua maana halisi ya kuhudumiwa.Mwanaume Anaangalia kwanza kama hii pesa nayotoa inaendana na thamani yake????au ndo natoa leo kesho na mkuta kwa dereva bodaboda.
Maombi yenu ya kutaka fifty fifty m*mae tumeyapokea tuchukueni Sasa hiyo fifty fifty Kama mlikuwa mnaona tuna faidi kuwa vichwa vya familia,kuhudumia familia. Twendeni kwenye mfumo jike, maamuzi toa wewe,familia hudumia wewe na msemaji wa Mwisho kuwa wewe na ukitaka kuwa na wanaume kumi kuwa nao.