sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Hivi ndugu zangu vijana wasasa tunaoana siku mbili tu tunaachana.SWALI:Je,ni kweli hivi sasa watu wanapendana au wanatamaniana tu.Maana ndoa hazidumu kabisa tofauti na wazee wetu.
watu wa ntwara mpo?
Hivi ndugu zangu vijana wasasa tunaoana siku mbili tu tunaachana.SWALI:Je,ni kweli hivi sasa watu wanapendana au wanatamaniana tu.Maana ndoa hazidumu kabisa tofauti na wazee wetu.
Wengine hawako tayari,mradi tu nao waonekane kutoa nuksi