Tunaomiliki salon za kiume Tukutane hapa tuambizane namna ya kuziinua zaidi

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Huku ndani Kuna watu wa Aina tofauti tofauti Tukutane hapa kwa wale tunaojishugulisha na biashara ya saloon..

Hata hivyo wapo wale double possession.. A namiliki salon na ni fundi pia.. Pia yupo a namiliki lakini sio fundi.. Na yupo fundi ambaye ameajiriwa kwenye salon.
Pia wako wale wanaotarajia kuuanzisha ama ndoto zao waje miliki hawa nao watapa faida kwenye huu uzi

Nyote mnakaribishwa.. Mimi nipo Doble possession njooni tusemezane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, kuna haya maandishi ambayo ni bold yanawekewa taa kwa ndani kila herufi na usiku yanaonekana vizuri yanapatikana wapi, ni mazuri sana kuwekea logo ya saluni, wapi tunaweza pata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya salun sio rahisi wafanyakazi ni wajanja janja kwa hio salun inahitaji uwangalizi wa hali ya juu by th way salun ni biashala ambayo haiumizi kichwa sana ukipata wafanyakazi makini na location nzuri.
Mm namiliki salun tano mjini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa siku unakusanya mahesabu bei gani, na hizo saloon zipo location ipi
 
Dah kama una roho nyepesi huwezi miliki hii biashara, ina changamoto nyingi sana na wwe si fundi na ufatiliaji wako ni hafifu unaweza funga mwezi wa kwanza tu. Nashukuru mimi leo mwaka wa 3 huu bado inapumua check instagram @bizzbarbershop
 
Mwenzio huku amelazimika kuifunga kabisa salon na Hana hata mwezi aliajiri kijana hesabu hamna kabisa.. Nakuhurumia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yake
Bahati nzuri kwangu ni kwamba nimechukua frem pembeni ya Ofisi yangu
Kulikuwa na saluni ila jamaa imewashinda baada ya kushindwa kukarabati na kuiweka katika ubora wa kisasa, eneo langu biashara ipo

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwakwel ateseka sana na hii biashara lakin moyo wangu unaniambia sipaswi kuiacha.
Mm i mfanyakaz na nina salun lakin vija kila week sound tu za hakuna wateja.
Nimeshafukuza mmoja huyu wa pil nae naona sound zishaanza..huwa nahis labda location ni shida maana ipo uchochoron.
Kero nyingine tuna share umeme na mama mwenye nyumba basi mzigo wote unakua wangu maana siwez acha umeme umeisha wakat bila huo hamna kazi.Hana ushirikia o kabisaa.
Biashara yangu ina mwez wa 5 sasa sidhan kama nimeingiza not more than 600,000/= kwa investment ya more than 2.5M
Kichwa kinauma kwel ila nimeamua niweke haya mawaz kando kwanza nimempa kaz wife awe anafuatilia kwa ukaribu maana yy kazin nai karib na ofis ilipo.
 
Kuna kifaa kinachofungwa pembeni ya mita kubwa ya Tanesco, hicho kinasoma matumizi yako ya umeme. Kinapatikana kwenye maduka ya vifaa vya umeme kinaondoa malalamiko hata kwa wapangaji.
 
Back
Top Bottom