Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Licha ya mambo mengi uliyotuahidi sisi wakazi wa daresalaam kama,
1.walimu kusafiri bure kwenye dala dala
2.Kututengenezea eneo la kupumzika lenye free wifi
3.upandaji miti jiji zima
4.Kutokomeza mashoga na wavuta shisha na wale wanaolala guest mida ya kazi
Na nyinginezo nyingi!!
Ila kwa leo naomba nikukumbushe mkuu wangu wa mkoa ile ahadi yako moja ya kugawa gari aina ya pickup kwa mtaa utakao jitahidi kufanya usafi!
Tumeambiwa uko mapumzikoni ulaya tunaomba utakapo huko huko uchukulizemo hiyo zawadi.
Kwani kulingana na matangazo yaliyofanywa na clouds tv kwa zaidi ya miezi mitatu sitaki kuamini kama wote nia yenu ilikuwa ni kuturubuni sisi wakazi wa daresalaam
Naamini ahadi hiyo itatekelezwa.....
Ahsante