Mtalebani Mweupe JF-Expert Member Joined Mar 12, 2020 Posts 566 Reaction score 655 Nov 29, 2023 #1 Habari Wakuu!!!! Tunahutaji wakulima wanaouza zao la Vanilla. Tunahitaji ziwe zimekaushwa. Ziwe Grade One kuanzia sentimita 13 na kuendelea. Kama Una Grade nyengine njoo na bei tutalinganisha. Serious farmers Tu wani DM ASAP.
Habari Wakuu!!!! Tunahutaji wakulima wanaouza zao la Vanilla. Tunahitaji ziwe zimekaushwa. Ziwe Grade One kuanzia sentimita 13 na kuendelea. Kama Una Grade nyengine njoo na bei tutalinganisha. Serious farmers Tu wani DM ASAP.
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Nov 29, 2023 #2 Nenda Kagera huko wakulima wa Vanila wanalalamika kwa kukosa soko
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,346 Reaction score 193,317 Nov 30, 2023 #3 Ahsante kwa taarifa...
Mtalebani Mweupe JF-Expert Member Joined Mar 12, 2020 Posts 566 Reaction score 655 Nov 30, 2023 Thread starter #4 Dengue said: Nenda Kagera huko wakulima wa Vanila wanalalamika kwa kukosa soko Click to expand... Plan ni kwenda huko, ila Kwa sasa nahitaji hizo details ili nijipange maana Nina wanunuzi tayari.
Dengue said: Nenda Kagera huko wakulima wa Vanila wanalalamika kwa kukosa soko Click to expand... Plan ni kwenda huko, ila Kwa sasa nahitaji hizo details ili nijipange maana Nina wanunuzi tayari.
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,424 Reaction score 17,067 Nov 30, 2023 #5 Ah wapi huna milioni milioni za kuwapa wakulima kwa kila kilo πππ
Mtalebani Mweupe JF-Expert Member Joined Mar 12, 2020 Posts 566 Reaction score 655 Nov 30, 2023 Thread starter #6 92 jerrie said: Ah wapi huna milioni milioni za kuwapa wakulima kwa kila kilo πππ Click to expand... ππππ Mi sina kwakweli
92 jerrie said: Ah wapi huna milioni milioni za kuwapa wakulima kwa kila kilo πππ Click to expand... ππππ Mi sina kwakweli
presider JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,427 Reaction score 1,886 Jul 18, 2024 #7 Vanilla nnazo mkuu. Njoo inbox tuongee vzur
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,772 Jul 23, 2024 #8 .