MagembeJr3
New Member
- Mar 31, 2020
- 3
- 5
Nauza jumla sio rejareja..Hahahahah halafu wewe ukauze 9000 au sio? Hamna pesa rahisi namna hio..Mie mwenyewe naitaka hio 9000!
Unauza mkoa gani?Nauza jumla sio rejareja..
Hahahahah halafu wewe ukauze 9000 au sio? Hamna pesa rahisi namna hio..Mie mwenyewe naitaka hio 9000!
Mlanguzi mbona nshamsanukia😂😂😂Huyo ni dalali tu anaona uvivu kufuga anasubiri watu wamfugie yeye apige hela kwa kuwanyonya.
Kwanini usiende kununua hapo shekilango?Naona watu wengi mnashindwa kuelewa hii baiashara ilivyo. Unapofuga kuku wachache wamayai definetly lazima tray lako utauza kwabei kubwa lakn unapokua na kuku wengi wamayai (vice versa is true)
Kwasasa soko lamayai kwa bei ya jumla linaanzia 6500 - 6800 (nenda shekilango soko lamayai ukajionee) so naposema nahitaj msambazaj kwa tray 100 kwa 6500 hyo n minimum starting price (kulingana nabei ya soko kwasasa), hivyo nivyema kuzungumza ukiwa unajua bei halisia lkn sio kuongea kiushabiki tu.
Pia bei ya tray inaongezeka au kupungua kulingana na ukubwa wa mayai so ndio maana kuna bei tofaut sokoni, hivyo kama ww unauza kwa 7000 au 8000 kwa tray its well and good but kwetu bei tunayonunulia kwa tray nikulingana na bei yasoko
Nimecheka sana mkuuKwanini usiende kununua hapo shekilango?
Umedhalilisha sana hiyo tinted mkuu?
Sio kweli jana nimenunua tray 8000 apo apo shekilangoNaona watu wengi mnashindwa kuelewa hii baiashara ilivyo. Unapofuga kuku wachache wamayai definetly lazima tray lako utauza kwabei kubwa lakn unapokua na kuku wengi wamayai (vice versa is true)