Maruku Vanilla
Member
- Jun 14, 2010
- 63
- 43
mkuu haya maharage unaweza kuyapata lushoto au Mtega kilosa morogoro, ingawa huwezi kupata single source ya kutosha order quantity
This type of business needs a formal type of contract farming to make it reliable and to meet delivery standards
Nimekuwa nikipata walau order mbili kwa mwaka bila kuzifanyia kazi. Mwaka huu tena nimepata kutoka Yemen si chini ya Buyers wawili. Ndo maana nikaona nisidharau bali nichangamkie fursa. Hivyo siwezi kuthibitisha kama soko ni la uhakika na la kudumu au lah! Ila ninavyohisi mahitaji yanaweza kuwa ni ya kudumuHaya maharage kuyapata kwa wingi sehemu moja ni mbinde mkuu. Je yaweza kuwa tenda ya kudumu kaka tuingie chaka?
Nimekuwa nikipata walau order mbili kwa mwaka bila kuzifanyia kazi. Mwaka huu tena nimepata kutoka Yemen si chini ya Buyers wawili. Ndo maana nikaona nisidharau bali nichangamkie fursa. Hivyo siwezi kuthibitisha kama soko ni la uhakika na la kudumu au lah! Ila ninavyohisi mahitaji yanaweza kuwa ni ya kudumu