Tunanua Facebook Groups na Facebook Page

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Pole na Majukumu
najua kuna walio na facebook groups na page kwa ajili ya burudani au hawayatumii kibiasahara.

sisi tunanunua hayo magroup kama ifuatvyo.

Idadi ya Member Group Page
Laki 5-1m 200,000/= 500,000
Laki 1-laki 4.99 100,000 200,000
Elfu 50-elfu 99 60,000 100,000
Elfu 20-elfu 49 25,000 50,000
Elfu 15 elfu-19-Bei maelewano

Tukikubalina.nakupa account yangu ya fb unanifanya admin then nafuta admin wengine ,biashara imefika.

unaweza kuwasiliana nami kwa PM au hapa hapa.

asante
 
Challenge: Akikupa uadmin ukawaremove wengine wote na hela usipomtumia atakukamatia wapi?
 
Mkuu safar yangu bado kabisa ntakutafuta miaka michache ijayo nina idad ya watu elfu 3 na kitu hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…