Tunamfahamu The Late Dr.Myles Munroe?

Shukrani mkuu! Nimedownload app yake iko vizuri sana.
 
Success is predictable ~Miles Monroe
And success is not measured by outclassing others But by comparing what you have done to what you should and could have done.uhhh,this was such a great mentor mkuu
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu.napenda watu wanaojenga hoja kama wewe,umeanza vizuri.nakumbuka hata stefano alipigwa mawe,na swali la nyiongeza ni kwanini watumishi wengi wa dini hufa vifo vya mitindo hii!!!naamini tutaelimishwa na wataalam sir with love.asante kwa kunifungua macho vizuri,ngoja tuwaulize mkuu
 
Pamoja mkuu, nlimfahamu akiwha hai na mlikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa talks zake! Nliumia sana nliposikia amepata ajali ya ndege na kufariki.
Japo hatunae tena lakini mafundisho yake bado yanaishi.
 
Pamoja mkuu, nlimfahamu akiwha hai na mlikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa talks zake! Nliumia sana nliposikia amepata ajali ya ndege na kufariki.
Japo hatunae tena lakini mafundisho yake bado yanaishi.
Pamoja sana.zile talks zake kwa jina moja la kidini zinaitwa sermons mkuu
 
Bishop unamzungumziaje huyu mheshimiwa?
Ni mmoja kati ya watu walioishi na kulitenda kusudi la kuwepo kwao Duniani; ameweza kuishi na kuendelea kuishi hata ajapokuwa hayuko duniani, aliyoyanena na watu walioyapokea na kutumia mifano hai na mafundisho, wanaendelea kufanya sehemu ya yale aliyokuwa na shauku kuyaona yakitendeka kwa Utukufu wa Mungu na wala sio wa mtu binafsi.
 
Amina mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…