He says "you were born because there was something that GOD wanted it done that He requires you". There is where the purpose of living is(Through God given gifts/talents)!!!For everything its purpose and for every activity its timeSuch a great teacher. Somo lake la purpose of living dahh Mungu amrehemu
NDIYESi yule alikujaga bongo miaka kadhaa iliyopita akapigisha seminar ya kufa mtu akaondoka zake wiki kadhaa zilipopita tukasikia ndege yake imedondoka amefariki yeye na mkewe?au siye huyu?
Kwakweli mimi pia kwa uelewa wangu mdogo nadhani ni mipango tu ya Mungu.nadhani wataalamu watatuelewesha zaidi!!kuna kundi la watu waliitungua ndege ya marehemu dr. Myles munroe.ilikua ni plan ya kumuuaNaomba kufahamu hili kwa upeo mdogo nilionao.
Mtumishi wa Mungu anapokufa kwenye kifo cha ajali, bila kuumwa wala uzee, kiashiria chake huwa ni nini? Mungu anakuwa ameamua aondoke kwa jinsi hiyo?
Nitaupata tu maana nilikuwa namjua kwa juu juu sana sio kiundaniMkuu kama una muda mfuatilie nahakika ata blow your mind.ana misemo na mafunzo mazuri sana
Steve13, mipango ya Mungu ni ili makusudi yake yafanikiwe.Kwakweli mimi pia kwa uelewa wangu mdogo nadhani ni mipango tu ya Mungu.nadhani wataalamu watatuelewesha zaidi!!kuna kundi la watu waliitungua ndege ya marehemu dr. Myles munroe.ilikua ni plan ya kumuua
Really A life gone too soon.That was such a great quote!! "Be yourself in a world that is constantly trying to make you something else is the greatest accomplishment"Gone too soon. Jamaa alikuwa vizuri sana kwa kweli.
"Dont be pigeon if you were born to be an eagle. Experience God`s altitude for your life."