Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,506
Hivi inakuwaje nchi maskini sana duniani kama malawi inaweza kumudu na kuwahudumia wananchi wake kuanzia elimu,maji na kilimo halafu nchi yenye uchumi wa kati kama tanzania inashindwa kuwahudumia wananchi wake?
Katika ziara ya mbunge wa mbozi mheshimiwa Pascal Haonga nchini malawi nilithibitisha na kuyaona haya.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KILIMO,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Serikali ya malawi huandaa mpango maalumu wa kilimo kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wake.mpango huo huwa miaka mitano au miaka miwili .
serikali ya malawi inapofika mwezi wa 6 huandikisha sensa ya wakulima na kupewa kadi maalumu na inapofika kipindi cha kilimo yani mwezi wa 10 serikali ya malawi huleta mbolea na kujaza kwenye maghala ya serikali..
mkulima anaenda kwenye ghala hilo la serikali akiwa na kadi aliyopewa wakati wa sensa ambapo mfuko wa kg 50 DAP na UREA kg 50 na mbegu kg 10 mkulima ananunua kwa 4500 kwacha ambayo ni sawa na Tsh.18,000/= elfu 18 pesa ya tanzania,wakati serikali ya tanzania mfuko wa kg 50 DAP,UREA kg 50 na mbegu kg 10 kwa bei ya ruzuku mkulima ananunua kwa Tsh.92,000/= hii ni sawa na mara 5 ya ruzuku ya serikali ya malawi kwamba tanzania bei juuu sh.92,000 na malawi bei chini Tsh.18,000.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAJI,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Pamoja na umaskini wa malawi lakini wamejitahidi sana kutatua tatizo la maji kwani mpaka sasa malawi imechimba visima vya maji safi nchi nzima kwenye vitongoji vyote wakati nchi yenye uchumi wa kati tanzania maji ndio changamoto kubwa zaidi.nilipojaribu kuongea na afisa mmoja wa idara ya maji aliniambia wao wanaitumia vizuri bila kuchakachua misaada kutoka world bank wakati tanzani ata tukipewa msaada na world bank kwa ajili ya kutatua shida ya maji pesa zinaishia kwa vigogo wachache wanaojiita mawaziri,makatibu wa wizara,wakurugenzi wa taasisi na wengineo.
...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,UMEME,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
kwa mjibu wa meneja wa Shirika la umeme nchini malawi linalojulikana kama Electricity Supply Corporation of Malawi Limited (ESCOM) mkoa wa mzuzu alisema utaratibu kusambaza umeme mijini na vijijini ni bure sifa ni kwamba muombaji anayetaka kuingiziwa umeme nyumba iwe imeezekwa kwa bati na kama ametimiza mashariti hayo atatuma maombi kwenye shirika la umeme ambapo ataingiziwa umeme bure bila gharama yoyote wakati tanzania pamoja na wahisani kutoa fedha za kusambaza umeme vijijini maarufu kama (REA) lakini bado mnachajiwa kati ya Tsh laki 2 ili kuunganishiwa umeme yani ni sawa na mtu amekupa ofa ya chakula hotelini na umekulipia na ameondoka lakini muhudumu anakudai pesa ya chakula wakati ulilipiwa ndio wizi na ufisadi wa serikali ya tanzania.
Huu ni upuuzi nchi inayojiita ni yenye uchumi wa kati inashindwa kumudu kuwahudumia wananchi wake na inazidiwa na nchi maskini kabisa tanzania imejaa viongozi wengi wa serikali matapeli wezi na mafisadi,wanasema uchumi umekuwa kumbe huo uchumi umekua kwenye matumbo yao.Hakina kama taifatuna kazi kubwa ya kufanya
Tuonane 2020#
By
mdude nyagali