technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Sina undugu na polisi wala mzanzibar yoyote maisha yangu yoteNasema hili kwa dhati kabisa Rais Samia Na CCM mnakotupeleka tusije kulaumiana
Nchi hii toka mwaka 2010 unataka mabadiliko Ila nyie mnazua
Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko!!
WanaCCM ni ndugu zetu pia na police ni ndugu zetu huko ndiko watu wakichoka wataanzia
Endeleeni kupanda hiyo mbegu ikichipua na kusitawi msije kulalamika !!
Muhaini ni nani ni yule msaliti anayeuza Mali za nchi na kuficha pesa nje ya nchi au anayewafumbua watu ukweli juu ya wajibu haki na Uhuru wao?.
Muhaini ni nani ni yule msaliti anayeuza Mali za nchi na kuficha pesa nje ya nchi au anayewafumbua watu ukweli juu ya wajibu haki na Uhuru wao?.💪🏿Nasema hili kwa dhati kabisa Rais Samia Na CCM mnakotupeleka tusije kulaumiana
Nchi hii toka mwaka 2010 unataka mabadiliko Ila nyie mnazua
Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko!!
WanaCCM ni ndugu zetu pia na police ni ndugu zetu huko ndiko watu wakichoka wataanzia
Endeleeni kupanda hiyo mbegu ikichipua na kusitawi msije kulalamika !!
Muhaini ni nani ni yule msaliti anayeuza Mali za nchi na kuficha pesa nje ya nchi au anayewafumbua watu ukweli juu ya wajibu haki na Uhuru wao?.
Nani huyo wa kuacha mambo yake aje kuwapigania nyie Chadomo? 😂😂Nasema hili kwa dhati kabisa Rais Samia Na CCM mnakotupeleka tusije kulaumiana
Nchi hii toka mwaka 2010 unataka mabadiliko Ila nyie mnazua
Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko!!
WanaCCM ni ndugu zetu pia na police ni ndugu zetu huko ndiko watu wakichoka wataanzia
Endeleeni kupanda hiyo mbegu ikichipua na kusitawi msije kulalamika !!
Muhaini ni nani ni yule msaliti anayeuza Mali za nchi na kuficha pesa nje ya nchi au anayewafumbua watu ukweli juu ya wajibu haki na Uhuru wao?.
Tamaa ya madaraka ikizidi kwa watawala mahala popoye duniani, mwishowake huwa ni kutoweka kwa utengamano wa Kitaifa, na pia uporomokaji wa uchumi wa mataifa husika ktk kadhia ya namna hii.Sina undugu na polisi wala mzanzibar yoyote maisha yangu yote
Tunaomba silahaNasema hili kwa dhati kabisa Rais Samia Na CCM mnakotupeleka tusije kulaumiana
Nchi hii toka mwaka 2010 unataka mabadiliko Ila nyie mnazua
Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko!!
WanaCCM ni ndugu zetu pia na police ni ndugu zetu huko ndiko watu wakichoka wataanzia
Endeleeni kupanda hiyo mbegu ikichipua na kusitawi msije kulalamika !!
Muhaini ni nani ni yule msaliti anayeuza Mali za nchi na kuficha pesa nje ya nchi au anayewafumbua watu ukweli juu ya wajibu haki na Uhuru wao?.
Ni aibu snTamaa ya madaraka ikizidi kwa watawala mahala popoye duniani, mwishowake huwa ni kutoweka kwa utengamano wa Kitaifa, na pia uporomokaji wa uchumi wa mataifa husika ktk kadhia ya namna hii.