Tunakata tiketi za ndege

Joined
Nov 14, 2016
Posts
38
Reaction score
19
Javis internationa trade tumeongeza huduma ya tiketi za ndege kwa wateja wa ndani ya nchi na wateja wa nje za nchi kokote tunakata...piga 0769061198 ofisi zetu ziko jengo la ushirika lumumba karibuni sana
 
Siku hizi Kuna online booking. Tueleze tutanufaikaje kukata tiketi kwako ili tukukimbilie?
 
Javis internationa trade tumeongeza huduma ya tiketi za ndege kwa wateja wa ndani ya nchi na wateja wa nje za nchi kokote tunakata...piga 0769061198 ofisi zetu ziko jengo la ushirika lumumba karibuni sana
Vema ungesema tunauza tickets za ndege
 
Kama wewe ndio mhusika basi rudi mezani uandae vizuri tangazo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…