Tunajenga nyumba

Hivi main point ya hii thread iko wapi! maana sione chochote cha msingi kilichoandikwa hapa! nisaidien kunielewesha mlioelewa tafadhal
 
Wewe huna kitu cha kufanya, halafu pia una mawazo hafifu sana, wenzio huwa wanakula kimya kimya hawapigi kelele, ila jua kila lenye mwanzo halikosi mwisho. Hapo ndipo utakapokuja kujua nani ni mke na nani ni kiraka.

Kwahiyo wewe ni mke au ni kiraka? heheheheheeeee halo. Ustake ncheke mie sa izi.
Nile kimyakimya kwa kificho kisa? Namwibia nani? Mi nnepewa nachukua. Apatacho mtu chake bibi. We endelea kusubiria huo mwisho. Utangoja sana.
 
Pole sana , na tangu nimezaliwa sikuwahi kuwa na sitakuwa kiraka hata siku moja, mm ni mke wa NDOA yenye miaka 10, sasa wewe ambaye ni mwizi wa vya watu iko siku yako inakuja.
 
Hili gari nahisi kama nimelidandia kwa mbele. Ngoja nikae pembeni kwanza gari lenyewe halina hata driver wala utingo isitoshe hamna hata breki
 
Pole sana , na tangu nimezaliwa sikuwahi kuwa na sitakuwa kiraka hata siku moja, mm ni mke wa NDOA yenye miaka 10, sasa wewe ambaye ni mwizi wa vya watu iko siku yako inakuja.

Hongera, kumbe una cheti cha ndoa. Sikushangai. Mara zote kibeho hujidhania bado ki ungo hata pale kinapotumika kuzolea majivu.
 
Mbona sielewi lolote humu! Em tueleweshe vizuri.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…