Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Tunahitaji taasisi kwa maana ya systems na sheria imara ambazo zitawashape watuNdugu Zangu hivi ili Nchi zetu za Kiafrika ziweze kuendelea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na kuleta tija katika maisha halisi ya watu tunahitaji nini kati ya "WATU Imara" au "TAASISI Imara" (We need strong People or strong Institutions) ?
tume huru ya uchaguzi, bunge linalowajibika kwa wananchi, mahaka huru, serikali imara, uongozi bora (rais), uhuru wa vyombo vya habari, freedom of speech, civil rights. Hivyo vyote vikifanya kazi yake kwa haki tunapata watu imara
Ndugu Zangu hivi ili Nchi zetu za Kiafrika ziweze kuendelea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na kuleta tija katika maisha halisi ya watu tunahitaji nini kati ya "WATU Imara" au "TAASISI Imara" (We need strong People or strong Institutions) ?