mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,211
- 3,317
Aksante ndiku!!!
Tunata kujitegemea ila sio kujitegemea halisi!!!
Kujitegemea kwetu nikutegemea lile tabaka moja linaloweza kufanya chochote linachotaka !!!
Lile tabaka lililovuga uchaguzi wa zanziber,
lile tabaka lilovulugha sheria ya mtandao,
lile tabaka lililozika maoni ya mwanachi kwenye katiba mpya,
lile tabaka linalojilipa mishahala ila sisi tabaka la chini tunapangiwa kiduchu,
lile tabaka linalopitisha bajet hewa, lile tabaka ambalo liko juu ya sheria lenyewe halihojiwi ,
lile tabaka tunalochangia 10% kwa ajli ya matumbo yao sisi watoto wana lala njaa.,
lile tabaka lililo njenga ikulu kijijini msoga na wala halihojiwi,
lile tabaka linalofanyia mikataba gizani sisi hatujui kinachoendelea ...
Hilo ndo tabaka tutakuwa tunalitegemea na sio kujitegemea!!!!!