TUNAHITAJI COLLeGE PRINCIPAL

LENJENTZ

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Habari za Jioni wadau wote,tunatafuta mtu msomi,mwenye uzoefu wa kuongoza vyuo katika nafasi ya juu mkuu wa chuo yaani Principal,muombaji awe na elimu ya digrii moja na kuendelea katika maswala ya uongozi na usimamizi,awe na uzoefu katika maswala ya uendeshaji taasisi za elimu,akiwa na uzoefu wa ualimu ni muhimu pia.Tuma CV yako au ya ndugu rafiki au jirani unayeamini ana uwezo na kazi hii kwa info@lenjentz.com
 
Hiyo taasisi yenu inaonekana haiko serious! kama wewe ndio wamekutuma kufikisha ujumbe, juwezi hata kuspell College!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…