Home tuition services
Member
- Aug 30, 2023
- 86
- 116
0743567159.Form 1 bei gani tuition ashtuke likizo zinaanza kesho
Yaani mtu atume details zake kwa sources ambazo ni za mashaka namna hii? Hiyo shule haina mfumo mzuri wa kutangaza kazi?Uongozi wa shule ya sekondari mangio iliopo Kilimanjaro wilaya ya Mwanga,unapenda kutangaza nafasi za maombi ya kazi kwa masomo yafuatayo.
1.commerce na B/ keeping...nafasi 1
2.physics na B/ maths..nafasi 3
3.History na Geography..nafasi 2
4.English na kiswahili..nafasi 1
5.B/math na ICT..nafasi 2
6.Lit.in English na kisw/ English/History ...nafasi 2.
Tuma maombi yako kwa njia ya whatsApp namba
0656578865
0713136842
Au Email. mkogajumanne@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 07.10.2023. Saa 12.00 jioni.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Well said. ThanksChonde chonde! Mjitahidi tu kufanya kazi yenu kwa uaminifu na mafanikio makubwa. Ni ushauri tu. Na wala sina nia ya kuwaharibia biashara yenu.
Kuna kijana mmoja alimaliza kidato cha sita katika shule moja maarufu na kongwe ya Serikali nchini.
Alikuwa ni kichwa kweli kweli!! (Na alipata divisheni 1 baada ya matokeo kutoka).
Wakati anasubiria matokeo yake, alipata shavu la kumfundisha mtoto wa kishua nyumbani kwao (mtoto wa kiume wa darasa la 5! Na mnawafahamu watoto wa kishua kwa namna walivyo, kutokana na vyakula wanavyokula). Baada ya kupata nafasi ya kumfundisha tuition nyumbani kwao, aliamua kujiongeza kwa kumfanyia kitu mbaya yule mtoto. Tena siyo mara moja!!
Baada ya kugundulika na kesi kufikishwa mahakamani, kijana akakutwa na hatia na kuhukumiwa faster miaka 30 jela. Ni mwaka wa 5 umepita tangu alipohukumiwa. Hivyo tahadhari ni muhimu. Hiyo kazi yenu ina majaribu mengi. Hivyo mjitahidi kuyashinda.
Angekuwa amemuharibu wa kike ningekubaliana na wewe kuhusu majaribu.Kwa wa kiume siyo majaribu ,huyo kijana mpumbavu sana na kidato Cha Sita hakuelimika.Mwache akae anapostahili.Chonde chonde! Mjitahidi tu kufanya kazi yenu kwa uaminifu na mafanikio makubwa. Ni ushauri tu. Na wala sina nia ya kuwaharibia biashara yenu.
Kuna kijana mmoja alimaliza kidato cha sita katika shule moja maarufu na kongwe ya Serikali nchini.
Alikuwa ni kichwa kweli kweli!! (Na alipata divisheni 1 baada ya matokeo kutoka).
Wakati anasubiria matokeo yake, alipata shavu la kumfundisha mtoto wa kishua nyumbani kwao (mtoto wa kiume wa darasa la 5! Na mnawafahamu watoto wa kishua kwa namna walivyo, kutokana na vyakula wanavyokula). Baada ya kupata nafasi ya kumfundisha tuition nyumbani kwao, aliamua kujiongeza kwa kumfanyia kitu mbaya yule mtoto. Tena siyo mara moja!!
Baada ya kugundulika na kesi kufikishwa mahakamani, kijana akakutwa na hatia na kuhukumiwa faster miaka 30 jela. Ni mwaka wa 5 umepita tangu alipohukumiwa. Hivyo tahadhari ni muhimu. Hiyo kazi yenu ina majaribu mengi. Hivyo mjitahidi kuyashinda.
Bei ni siri hovyo kabisaHabari ya asubuhi Waungwana, Poleni na Hongereni na Mapambano, Kwa wale wazazi, ndugu pamoja na Jamaa ambao wanahitaji watoto wao kufundishwa nyumbani (Darasa la 1 mpaka wale wanaosoma Vyuo vikuu hasa open) mitaala yote yani Cambridge, Necta, International nk.
Tunatoa huduma ya twisheni Majumbani, hasa kwa wale watoto ambao ni wazito yaani (beginners) pamoja na waliochelewa kuzungumza yaani (late articulators) Tunawasaidia kwa ukaribu.
Gharama ni nafuu sana. Ofisi zipo Magomeni Mapipa ghorofa ya 2 opposite (Magomeni mapipa kituo cha mwendokasi.). Mawasiliano 0743567159 . huduma hii inapatikana mikoa yote ya Tanzania Bara pamoja na visiwani. Karibuni sana.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app