Tunafundisha masomo ya biashara

Tunafundisha masomo ya biashara

chamgina

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
13
Reaction score
1
Sasa huna shaka tena ya kuhangaika kupata walimu wa biashara

kwanii Business professionals tution centre ndo mkombozi wa masomo yako ya biashara

kama vile Banking, and finance, Business Mathematics (Quantitative method)

Accounts , Marketing ,Economics ,Customer care ,Business law.,International marketing,

Management and organization behaviour. Enterpreneurship (Ujasiriamali) ,computer application

communication skills,english course, kusaidia kufanya Assignments, writting Research papers ,Term papers,

consultancy,cost accounting ,finance Management,consumer behaviour na pia Tutatengeneza Business plan

na kuwapa mawazo watu wanaotaka kuanza biashara, na namna ya kutengeneza faida haraka kwa gharama chee.

na bila kusahau tunaandaa watu kwa ajili ya mitihani ya vyuo kwa walio diploma na certificate na degree
Business plan skills kwa kufanya revision topic yeyote wanayotaka

mbali na hayooo tunawasaidia watu assignment zao katika somo lolote

kwa bei rahisi na pia kukuandikia kwa ubora wa hali ya juuu

kwa wale walio makazini na sehemu za mbali pia tunaweza kukufwata popote ulipo hata ka ni mkoani .........

wahi sasa au piga simu

simu: 0784177507 /0713381380
Mr Daniel stephen
toka chuo cha mzumbe na MBA in corporate Management
Degree in BBA from Mzumbe University

simu: 0684591101/0717178455
Mr charles toka chuo cha Mzumbe na MBA in Corporate Management
Degree in Marketing Management for Asia Pacific University
 
ndio maana elimu inashuka. mnasaidia watu kufanya assignment na wakati huwa wanatakiwa kufanya katika group.
Nyie ni short term solution na sio longterm solution.
 
Mnisaidie kupata well educated, experienced, high committed entrepreneurial business manager, business iko lakezone
 
Sasa huna shaka tena ya kuhangaika kupata walimu wa biashara

kwanii Business professionals tution centre ndo mkombozi wa masomo yako ya biashara

kama vile Banking, and finance, Business Mathematics (Quantitative method)

Accounts , Marketing ,Economics ,Customer care ,Business law.,International marketing,

Management and organization behaviour. Enterpreneurship (Ujasiriamali) ,computer application

communication skills,english course, kusaidia kufanya Assignments, writting Research papers ,Term papers,

consultancy,cost accounting ,finance Management,consumer behaviour na pia Tutatengeneza Business plan

na kuwapa mawazo watu wanaotaka kuanza biashara, na namna ya kutengeneza faida haraka kwa gharama chee.

na bila kusahau tunaandaa watu kwa ajili ya mitihani ya vyuo kwa walio diploma na certificate na degree
Business plan skills kwa kufanya revision topic yeyote wanayotaka

mbali na hayooo tunawasaidia watu assignment zao katika somo lolote

kwa bei rahisi na pia kukuandikia kwa ubora wa hali ya juuu

kwa wale walio makazini na sehemu za mbali pia tunaweza kukufwata popote ulipo hata ka ni mkoani .........

wahi sasa au piga simu

simu: 0784177507 /0713381380
Mr Daniel stephen
toka chuo cha mzumbe na MBA in corporate Management
Degree in BBA from Mzumbe University

simu: 0684591101/0717178455
Mr charles toka chuo cha Mzumbe na MBA in Corporate Management
Degree in Marketing Management for Asia Pacific University

Kama mnataka wataalam wa ziada kwa ajili ya kuwapiga misasa wanafunzi wa ngazi hizo (biashara na uchumi)...anzeni na mimi!
 
Back
Top Bottom