ok,kwenye lugha namaanisha ni lugha hizi html,css,php n.k?Inaanza na 250000 mkuu ,lugha ni kingereza zaidi
Akijibu unambieok,kwenye lugha namaanisha ni lugha hizi html,css,php n.k?
Nalog off
usijali mkuu nitakutag 😂Akijibu unambie
Huu uzi una wenye? Mpoo?Hello ,wanajamvi habari za muda huu na matumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku ,wadau kwa yeyote anayehitaji ,web na app designing ,pamoja na hosting tuwasiliane ,kwa anayehitaji hosting ni 80,000 kwa package ya kutosha kabisa ,na kama utahost kwetu tutakupa mwezi mmoja bure ,piga 0687 535650
kwa mfano mimi mkulima ama mwenye duka; itanigharimu kiasi gani hadi matangazo yangu yanakuwa mawinguni duniani?Hello ,wanajamvi habari za muda huu na matumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku ,wadau kwa yeyote anayehitaji ,web na app designing ,pamoja na hosting tuwasiliane ,kwa anayehitaji hosting ni 80,000 kwa package ya kutosha kabisa ,na kama utahost kwetu tutakupa mwezi mmoja bure ,piga 0687 535650