mwachisabwe kibona
Senior Member
- Aug 5, 2014
- 116
- 27
Hata mimi kanishangaza kama paka wa kwenye avatar yakoHuyo atakuwa alitaka kuitaja pua ya kwenye avatar yako penseli ikatereza.😀😀
Tabia mbaya, kama tunashindwa kujikwamua wenyewe, mnaikodolea macho selikari poleni sana.
Ahsante sana, hata mimi huwa nshaongelea sana hili suala.Tabia mbaya, kama tunashindwa kujikwamua wenyewe, mnaikodolea macho selikari poleni sana.
Mnajifariji e...
Jengo la Sisi Emu vs Mtanzania wa kawaida
sisi Emu mbele kwa mbele
we are poor not because of CCM We are poor because of poor
we are poor not because of CCM We are poor because of poor
Usitegemee kila kitu ufanyiwe na Serikali, vingine unatakiwa uumize kichwa mwenyewe ili uweze kujikwamua.kwani kazi ya siri-Kali ni nini
kwani kazi ya siri-Kali ni nini
Usitegemee kila kitu ufanyiwe na Serikali, vingine unatakiwa uumize kichwa mwenyewe ili uweze kujikwamua.
Sio ujibweteke baadae uje kuilaumu Serikali.
Maana watu humu CCM ndio imekuwa scapegoat.
Mtu kanyimwa unyumba na Mkewe inalaumiwa CCM.
Mtu kafumaniwa na Mkewe inalaumiwa CCM.
Jitu linakosa usingizi lenyewe inalaumiwa CCM.
Jamani e... imezidi sasa
Kubalini matokeo nyie UKAWA pamoja na Rais mliokuwa mkiota ndoto zenu za mchana kuwa angeshinda, mmetoka kapa.hata unavyoandika tu inaonyesha SISI EMU imeshakuharibu