Maji .. Maji... Kuna wanaobakwa kwa kutafuta maji, wanaopata mimba za maji, wanaoliwa na simba kwa ajili ya maji, wanaoachwa na waume kwa ajili ya maji, maji maji maji... Athari za kijamii (Social impact) za kukosa maji ni kubwa na viongozi hawaoni kama ni udhaifu wa kuwapa mahitaji ya lazima wananchi wake... Viongozi wana hatia ya haya yote...