Tunachimba visima

Tunachimba visima

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
1/tunachimba visima kwa dar es salaam elf sitini na tano (65,000) chimba mikoa yote tanzania bei maelewano gharama zetu nafuu sansa)

2/tunasafisha pump na compressor

3/tunapima maji yanapatikana mitangapi kwenda chini

4/tunatoa pump zilizo katikia ktk visima chini gharam zetu ninafuu sana napia tunafika mkoa wowote

5/ tuna compressor kubwa ya kuflashia visima catapila
tunakaribisha visima vya miradi mbalimbali (makanisa misikiti mshirika n.k) gharamazetu ninafuu sana

6/kuja saiti kwa hapa dar es salaam pia Kwa ushauri tunakuja

tuna mashine za kisasa kutoka u.s.a mpya kabisa tunachimba popote ndani ya tanzania
(tanzania kuwa na maji mengi inawezekana karibuni)
0712690760
 
Kwa elf 65,000 ndo nn???!!!hebu edit hilo tangazo
 
Weka vibali vya usajiri wa kazi zako zote ulizotaja. Kumbuka kwa mujibu wa sheria ya usimamizi wa rasilimali za maji namba 11 ya mwaka 2009 na kanuni zake.

1. Kampuni lazima isajiliwe na wizara ya maji ili iweze kufanya hizo kazi.

2. Mitambo ya uchimbaji lazima isajiliwe.

3. Wachimbaji lazima wasajilowe.

4. Wanaofanya utafiti kujua maji yapo kina gani lazima wasajiliwe.

Sasa wewe tuwekee hapa hivyo vyeti vya usajili la sivyo mawasiliano uliyotoa yatatumika kukukamata kama mchimbaji haramu.
 
Mnachimba Mwz?
Je bei inapungua?
 
Hata Mimi natafuta anayechimba Mwanza, mkuu ukimpata nifahamishe!
Mwanza kuna Kampuni ina itwa MASWI DRILLING LTD wako Bwiru duuh ni balaa. Bei zao sijawahi ona. Survey tu ya maji Tshs 2.5M.
Kuchimba per meter 250,000. Hawafai nchi maskini kama Tz.

Kama upo matawi hayo. Nikutumie no zao
 
1/tunachimba visima kwa dar es salaam elf sitini na tano (65,000) chimba mikoa yote tanzania bei maelewano gharama zetu nafuu sansa)

2/tunasafisha pump na compressor

3/tunapima maji yanapatikana mitangapi kwenda chini

4/tunatoa pump zilizo katikia ktk visima chini gharam zetu ninafuu sana napia tunafika mkoa wowote

5/ tuna compressor kubwa ya kuflashia visima catapila
tunakaribisha visima vya miradi mbalimbali (makanisa misikiti mshirika n.k) gharamazetu ninafuu sana

6/kuja saiti kwa hapa dar es salaam pia Kwa ushauri tunakuja

tuna mashine za kisasa kutoka u.s.a mpya kabisa tunachimba popote ndani ya tanzania
(tanzania kuwa na maji mengi inawezekana karibuni)
0712690760
 
1. Kama inafaa weka being ya kila mkoa/ kanda. Usi-focus DSM pekee.
2. Kuwa mjasitiamali was kweli.
3. N.B. Najitaji kisima
 
Mwanza kuna Kampuni ina itwa MASWI DRILLING LTD wako Bwiru duuh ni balaa. Bei zao sijawahi ona. Survey tu ya maji Tshs 2.5M.
Kuchimba per meter 250,000. Hawafai nchi maskini kama Tz.

Kama upo matawi hayo. Nikutumie no zao
Perhaps, hujawahi kuwafuatilia vizuri ukajua tofauti yao na other drilling companies in lake zone. Jaribu tena kujifunza kwao utawaelewa vizuri, imagine company "a" anachimba kwa 80_000 kabla ya VAT per m sq akiweka na VAT its around 140,000/ lakini hafanyi survey na wala hana surveyors jukumu la survey ni la kwako, na ukimleta site akachimba sehemu uliyomwonesha sharti umlipe hizo m sq alizochimba bila kuweka gharama ya PVC (screened & opaque PVC) pamoja na gharama ya kuleta vifaa site. Lakini Maswi anakupa kontrakt ya "mpaka maji yapatikane" kwa kuwa wao wanafanya survey mwenyewe.
 
Ni kweli. Ila unakuta mtu unahitaji kisima kwa ajili ya shughuli za kilimo tu.

Complications balaaa
 
1/tunachimba visima kwa dar es salaam elf sitini na tano (65,000) chimba mikoa yote tanzania bei maelewano gharama zetu nafuu sansa)

2/tunasafisha pump na compressor

3/tunapima maji yanapatikana mitangapi kwenda chini

4/tunatoa pump zilizo katikia ktk visima chini gharam zetu ninafuu sana napia tunafika mkoa wowote

5/ tuna compressor kubwa ya kuflashia visima catapila
tunakaribisha visima vya miradi mbalimbali (makanisa misikiti mshirika n.k) gharamazetu ninafuu sana

6/kuja saiti kwa hapa dar es salaam pia Kwa ushauri tunakuja

tuna mashine za kisasa kutoka u.s.a mpya kabisa tunachimba popote ndani ya tanzania
(tanzania kuwa na maji mengi inawezekana karibuni)
0712690760
Kiongozi, hebu fanya ubunifu wa payment by installments uvute wateja. Si unajua usawa wenyewe wakupata 3M+ si jambo dogo. Maana hata huko bank kukukopesha wanaangalia unafanyakazi wapi au unakitu gani?
 
Ni kweli. Ila unakuta mtu unahitaji kisima kwa ajili ya shughuli za kilimo tu.

Complications balaaa
Shida ni kuwa kampuni nyingi za drilling ni za Wahindi au wageni ambao kwa sehemu kubwa wamejikita kwenye mining sector, na hii moja (Maswi) imejikita zaidi kwenye borehole. Lakini kulingana na maelezo ya kampuni hii nilijifunza pia kwamba drilling industry imevamiwa na wageni ambao hasa ndiyo wasumbufu kuliko hata hao Maswi maana kampuni mojawapo ilikuwa INA charge around 300,000/= per m sq
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom