Tunachimba Visima kwa Shillingi elfu 50000

tawa driller

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
296
Reaction score
152
TAWA WATER PROFFESONAL

Tunachimba visima vya maji na kufanya utafiti wa maji ardhini ( Underground water survey) kwa ghalama nafuu kabisa

Bei ya Uchimbaji kwa wateja wa Dar es salaam ni elfu hamsini kwa mita moja (Tshs 50000) na wateja wa mkoa wa pwani ni elfu sitini kwa mita moja (Tshs 60000)

Tutakuwekea Bomba Upvc,Pampu pamoja na kukusafishia kisima chako .

Ukichimba na sisi tunakuwekea na tenki la maji bure kabisa

Mawasiliano: 0625 576082
0764 418248
Tupo Dar es salaam Chanika-Msumbiji

Hili ni Punguzo kwa mwaka Mpya.
img-1090-420x315.jpeg
home-page-projects-gallery-pic7.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa "kawaida" hua mnachimba mpaka mita ngapi ili kuyafikia maji au kuikamilisha hiyo kazi ya uchimbaji?
 
Mkuu urefubwa uchimbaji unategemea sana na umbali wa maji yalipo katika saiti husika. Kwa mfano kuna baadhi ya maeneo maji yapo karibu na kuna baadhi ta maenei maji yapo mbali... Urefu wa kisima utakacho chimba kigamboni hakiwezi kufanana na kisima cha kimara
Mkuu kwa "kawaida" hua mnachimba mpaka mita ngapi ili kuyafikia maji au kuikamilisha hiyo kazi ya uchimbaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali rekebisha tangazo useme mnachimba kisima kwa shilingi elfu 50 au kwa shilingi 50,000 na si kwa shilingi elfu 50,000.
 
TAWA WATER PROFFESONAL

Tunachimba visima vya maji na kufanya utafiti wa maji ardhini ( Underground water survey) kwa ghalama nafuu kabisa

Bei ya Uchimbaji kwa wateja wa Dar es salaam ni elfu hamsini kwa mita moja (Tshs 50000) na wateja wa mkoa wa pwani ni elfu sitini kwa mita moja (Tshs 60000)

Tutakuwekea Bomba Upvc,Pampu pamoja na kukusafishia kisima chako .

Ukichimba na sisi tunakuwekea na tenki la maji bure kabisa

Mawasiliano: 0625 576082
0764 418248
Tupo Dar es salaam Chanika-Msumbiji

Hili ni Punguzo kwa mwaka Mpya.View attachment 988593View attachment 988594

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina kiwanja Toangoma maeneo ya funcity je maeneo yale unaweza kupata kita ngapi ili ukutane na water table? Nahitaji huduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlishawai chimba wilaya ya Handeni ? Nipeni experience yenu nataka ikiwezekana nichimbe huko

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mnaweza kufufua kisima kilichochimbwa halafu kikatelekezwa na fundi?
 
TAWA WATER PROFFESONAL

Tunachimba visima vya maji na kufanya utafiti wa maji ardhini ( Underground water survey) kwa ghalama nafuu kabisa

Bei ya Uchimbaji kwa wateja wa Dar es salaam ni elfu hamsini kwa mita moja (Tshs 50000) na wateja wa mkoa wa pwani ni elfu sitini kwa mita moja (Tshs 60000)

Tutakuwekea Bomba Upvc,Pampu pamoja na kukusafishia kisima chako .

Ukichimba na sisi tunakuwekea na tenki la maji bure kabisa

Mawasiliano: 0625 576082
0764 418248
Tupo Dar es salaam Chanika-Msumbiji

Hili ni Punguzo kwa mwaka Mpya.View attachment 988593View attachment 988594

Sent using Jamii Forums mobile app
I will consult you guys
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom