Kicheche mkali JF-Expert Member Joined Nov 3, 2021 Posts 290 Reaction score 265 Aug 16, 2025 #1 π¨ Unahitaji fundi wa ujenzi wa kisasa? β Mashimo ya choo β Septic tank β Plasta na skimming β Ujenzi wa nyumba zote za kisasa π Kazi safi, ubora wa hali ya juu, na bei rafiki! π Tunapatikana Dar es Salaam β Temeke π Piga/Sms/WhatsApp: 0789 005 562 / 0719 205 562 Attachments biodigester_septic_tank_-20240305-0002.jpg 230.4 KB · Views: 38
π¨ Unahitaji fundi wa ujenzi wa kisasa? β Mashimo ya choo β Septic tank β Plasta na skimming β Ujenzi wa nyumba zote za kisasa π Kazi safi, ubora wa hali ya juu, na bei rafiki! π Tunapatikana Dar es Salaam β Temeke π Piga/Sms/WhatsApp: 0789 005 562 / 0719 205 562
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Jan 26, 2026 #2 Nani mwenye uzoefu waliochimbiwa haya mashimo? Angalau lina miaka mitatu.
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,251 Reaction score 8,598 Sep 29, 2026 #3 Sibonike said: Nani mwenye uzoefu waliochimbiwa haya mashimo? Angalau lina miaka mitatu. Click to expand... Vipi mkuu walikuchimbia?
Sibonike said: Nani mwenye uzoefu waliochimbiwa haya mashimo? Angalau lina miaka mitatu. Click to expand... Vipi mkuu walikuchimbia?
Atacms JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 5,575 Reaction score 10,391 Sep 29, 2026 #4 Gharama za uchimbaji wa ayo mashimo zipo ndani ya gharama zenu au zinajitegemea? Kingine mashimo hayo yasiyo jaa hua Yan chimbwa kwenda FT ngap chini?
Gharama za uchimbaji wa ayo mashimo zipo ndani ya gharama zenu au zinajitegemea? Kingine mashimo hayo yasiyo jaa hua Yan chimbwa kwenda FT ngap chini?
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Oct 1, 2026 #5 Zero Star said: Vipi mkuu walikuchimbia? Click to expand... Magumashi mengi. Nilighaili
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,251 Reaction score 8,598 Oct 2, 2026 #6 Sibonike said: Magumashi mengi. Nilighaili Click to expand... Mi kuna mmoja apa nimempanga nikipata pesa waje wanijengee.... Ila moyo bado mzito sanaa naona jamaa siwahamini kabsa
Sibonike said: Magumashi mengi. Nilighaili Click to expand... Mi kuna mmoja apa nimempanga nikipata pesa waje wanijengee.... Ila moyo bado mzito sanaa naona jamaa siwahamini kabsa