N nemsong2005 Member Sep 14, 2011 5 0 Sep 14, 2011 #1 Kwa kweli nchi yetu inateketea siku hadi siku kwa kuwa serikali yetu imejaa watawala badala ya viongozi, coz watawala hujiwaza wao na manufaa yao tu na ndio watu waliojaa madarakani serikalini ni lini tutapata viongozi watukomboea. . .
Kwa kweli nchi yetu inateketea siku hadi siku kwa kuwa serikali yetu imejaa watawala badala ya viongozi, coz watawala hujiwaza wao na manufaa yao tu na ndio watu waliojaa madarakani serikalini ni lini tutapata viongozi watukomboea. . .