Tuna sambaratisha nchi wenyewe

Tuna sambaratisha nchi wenyewe

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Watz lazima wajue na kuelewa katika kujenga demokrasia ya kweli pasipo na haki ni kazi bure,yaani ni bure kabisa,Taasisi zote za kidemokrasia na utoaji wa haki lazima ziwe uhuru,huru kweli kweli.Ni juu ya kiongozi aliyeoko kuhahakikisha hayo yanafavyika.

Ukuaji wa demokrasia hapa Tanzania ni wa hali ya juu na vyama vya ushindani vinazidi kupata nguvu za kushangaza kulinganisha na mapingamizi kibao ya kisharia na kutoka kwa vyombo vya umma vinavyotumika vibaya.

Endapo ukuaji huo hautaenda sawia na uimarisha wa vyombo vya utoaji HAKI hakika tutakuwa tumejitakia wenyewe.

Dalili ziko wazi kabisa;Uandishi wa katiba mpya hatuna umoja halafu watu wakubwa wanacheka!;mnaelewana na viongozi wenzako lakini ukitoka tu umebadilika;taifa imegawanyika hawa wapinzani sisi chama tawala;mnaaza kuwaita watz panya road!;vyombo vya utoaji haki vinaaza kuingiliwa,vinapingana na kutahaminika kwa umma;hakuna maadili;uwizi na ufisadi;umaskini kuongezeka;wasomi uchwara kujaa mitaani,kujaza watu katikati ya mjini ambao wanamipango mingi mingi ya uhalifu;raia kuchukua sheria mkononi; vyombo vya ulinzi kuanza kutoa kuzawadia wanao waua raia etc
.Hakika hayo yanaashiria kitu....:bump2:
 
umesema ukuaji wa demokrasia hapa nchi ni wa hali ya juu, unajua ni kwa nini?
 
Back
Top Bottom