Tumuungeni mkono Michael Bloomberg

Simpendi Trump ila naona kama anakwenda kushinda tena.
 
Una maana gani kutwambia kuwa tumuunge mkono Michael Bloomberg, sijui kama na sisi huku tutaruhusiwa kupiga kura Marekani ili kufanikisha hiyo ndoto yako. I don't know.

Wewe ungejishughulisha na ya kwenu ambayo hata kabla ya tarehe ya uchaguzi lkn tayari akina Magufuli, Bashiru na Polepole wana matokeo yote ya nchi nzima mifukoni.
 
Kumshinda Trump....Bernie Sanders tu ndo suluhisho .



Kuleta unafuu wa kisera na kidplomasia ndan nanje ya US Bloomberg anafaa ,TATIZO HANA UWEZO WA KUMSHINDA TRUMP !!!.
 
Bloomberg alichakazwa kwenye mdahalo na Yule mama - Warren. Hawezi hata kujitetea, wanampopoa na mihela yake.

Huyo Bernie anaandamwa na u - socialist wake ila movement yake inazidi kupamba moto, Atashinda Nevada, mpaka sasa anongoza akimuacha Joe kwa mbali. Huyo Bloomberg kaachwa mbali.
Bernie kumzuia inahitaji nguvu ya ziada.

Mie nawakubali mfumo wao tu uko wazi sana, huku kwetu bado sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo jamvini.
The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote ulipo duniani MICHAEL BLOOMBERG



Mie tena au wewe ndio unaleta porojo mzee, umesema “bloomberg will make the world a better place to live”
Nimekuuliza “how” unaniambia naleta porojo, sasa hapo mleta porojo mimi au wewe mzee mwenzangu?!?
 
Bado unamuendorse bloomberg wako 😂😂ashafel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…