Kumbeee lol!!!!! ndiyo msamiati mpya wa MUJINI!!!!! huku mashenzini msamiati huo haujafika...lol!!!! Kila la heri nasikia siku hizi hata lile gauni lako lililokuwa linapwayapwaya miaka ileeee liko tight vizuri sana....Chezeya fukufuku weye!!!!
Heeee ngoja nikimbie baba chanja akichungulia humu mmekwisha ......teh!
kimbilio liko kwangu mrembo chau! ni mimi tu hapa! huhuhuuu!Heeee ngoja nikimbie baba chanja akichungulia humu mmekwisha ......teh!
Sijawahi kutia moyo hata siku moja...
atashangaa unatia wengne yy unamuacha.
hahahahaha!!! fukufuku kachemka. hapa nataka niyapige maproteins mpaka yaombe poo.
huhuhuuu! mtoto mzuri kama tunda la tope tope,
tam kama tunda dam,
laini kama chungwa ya sauzi afrika,
mtembeo wa maringo kama twiga wa serengeti,
Njoo nikutie mbele ya BAK! huhuhuhuuu!