Tumshauri

Tumshauri

Babaticha

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
26
Reaction score
1
Wakuu Habari

Nina rafik yng amenitaka ushauri,kwa ss ni muajiriwa jijini Mwanza ktk moja ya Tv Station, ila ameitwa katika Usaili wa kazi Serikalin ambao utakw Al khamis ya wik hii,aliemuita amempa uhakika wa Kupata kazi hyo mana yy n Director ktk Nafasi hzo.

So ananiuliza afanye nn
 
Kwa ujumla huu uzi unaboa sana hasa kwa watu wasio na ajira Jamani kuweni wazalendo kama una kazi sehemu moja acha na wengine wapate kazi,Maisha ni kurizika utajiri wa mtu sio kazi nzuri bali ni human effort
 
atajijua mwenyewe na mambo yao ya kujuana ndo mana cc tunakosa kazi.
 
sasa kama jamaa ameshamuhakikishia unaomba ushauri afanyeje kuhusu nini sasa?
 
Back
Top Bottom